Watu Wanne Wauwawa Na Wezi Wa Mifugo Baringo

Maiti nne za watu waliouwawa eneo la Nasukro kaunti ya Baringo Jumamosi, baada ya mapigano makali kati ya jamii za wa Pokot na Ilchamus, zimepatikana na kusafirishwa hadi mji wa Kabarnet. Awali watu wawili waliuliwa kutokana kisa cha wizi wa mifugo, jumla ya matokeo ya mapigano kati ya jamii hizo mbili ikiwa ni watu sita kupoteza maisha yao. Wakati huo huo, polisi watatu wa GSU na raia wawili wliuwawa hapo Jumamosi na gari moja la polisi kuchomwa moto na washambulizi wasiojulikana eneo la Kapedo lililo katika mpaka wa kaunti za Turkana na Baringo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories