Watu watatu wafariki huku saba wakijeruhiwa, Mwea-Embu

Kamati ya bunge ya sheria hii leo imemhoji Philomena Mwilu ambaye ametulia kuchukua wadhifa wa kuwa naibu jaji mkuu. Na watu watatu wamefariki na wengine saba kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani katika eneo la Murubara katika barabara ya Mwea kuelekea Embu katika kaunti ya Kirinyaga.

Tags:

Philomena Mwilu Mwea accident

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories