Watu wawili wafariki baada ya kugongwa na matatu

Watu wawili wameaga dunia na wengine wanane kujeruhiwa vibaya katika stani ya mabasi ya tala kaunti ya Machakos baada ya matatu kuwagonga vibaya walipokuwa wamesimama wakingoja gari la kusafiria na kama mwanahabari wetu Hassan Farah, anavyotuarifu matatu hiyo ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi na mtu mmoja ambaye kwa kawaida husaidia kuwaita abiria waingie kwenye matatu hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories