Watu wawili wafariki Kisii na Elgeyo Marakwet kutokana na mafuriko
Published on: October 21, 2017 08:47 (EAT)
Watu arobaini na wanne waliepuka kifo usiku wa jana, baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia ndani ya mto kalimorok kaunti ya Turkana. Hata hivyo watu wawili wameaga dunia katika kaunti za Kisii na Elgeyo Marakwet baada ya kusombwa na mafuriko
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment