Watu zaidi ya 15 wamefariki kwenye tetemeko la ardhi, Tanzania

Watu zaidi ya  15 wamethibitishwa kuaga dunia kutokana na mtetemeko wa ardhi wenye uzito wa 5.7  katika vipimo vya rishta huko nchini Tanzania huku wengine zaidi ya 200 wakijeruhiwa.  Waokowaji wanaendelea kuwasaka waliokwama katika vifusi.

Tags:

Tanzania bukoba tetemeko la ardhi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories