Watu zaidi ya 30 wajeruhiwa kwenye ajali mbili tofauti

Zaidi Ya Watu 30 Wanaendelea Kupata Matibabu Katika Hospitali Ya Machakos Level 5 Na Ile Ya Mwingi Level 4 Baada Ya Kuhusika Katika Ajali Mbili Tofauti Za Barabarani.
Ajali Hizo Zilitokea Katika Barabara Kuu Za Nairobi Kuelekea Mombasa Na Nairobi Kuelekea Mandera.

Tags:

road carnage ajali

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories