Watu zaidi ya 7 waangamia kwenye ajali katika barabara kuu ya Thika


Watu wanane wameripotiwa kufariki katika barabara kuu ya Thika kuja Nairobi kufuatia ajali mbaya majira ya jioni. Ajali hiyo imehusisha matatu, lori na magari madogo ya kibinafsi. Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali za karibu na eneo la tukio.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Saida Swaleh
More by this author