Wauguzi bado wanaendelea kugoma


Wauguzi watatu wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuwafungulia wagojwa wa akili kutoka hospitalini. Naye mgombea ugavana kwa tiketi ya Wiper kaunti ya Machakos, Wavinya Ndeti aruhusiwa kuwania nafasi hiyo baada ya mahakama kuu kubatilisha uamuzi wa awali wa IEBC wa kumfungia nje.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author