Wauguzi hawajarejea kazini

Siku moja tu baada ya muungano wa wauguzi kusitisha mgomo wao, hali ya kawaida bado haijarejea katika hospitali nyingi za umma humu, huku wauguzi wakionekana kana kwamba wanashiriki mgomo baridi.
Haya yanajiri huku muungano wa madaktari ukiendelea na mazungumzo na wizara ya afya. Hassan Mugambi amekuwa akifuatilia tarifa hiyo na sasa anatupasha zaidi.

Tags:

wauguzi mgomo wa madaktari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories