Wauguzi waandamana katika kaunti tofauti


Wauguzi nchini wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya muungano wa magavana kutisha kuwapiga kalamu endapo wataendelea na mgomo wao. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Makori Ongechi, maandamano hayo yameshuhudiwa katika maeneo tofauti nchini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

citizen
Story By Citizen
More by this author