Wauguzi waandamana katika maeneo mbalimbali nchini

Mazungumzo baina ya muungano wa wauguzi na baraza la magavana pamoja na tume ya kuratibu mishahara yanatarajiwa kuendelea hapo kesho huku mgomo wa wauguzi ukizidi kukithiri. Haya yanajiri huku wauguzi wakiandamana hii leo na wagonjwa kutaabika ndani ya hospitali. Saida Swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories