Wauguzi waendelea kususia kazi kote nchini


Wauguzi wanadai kuna njama ya kuwachosha na kususia mgomo wa wauguzi ulioingia siku yake ya nne. Kulingana na Maurice Opetu amabye ni naibu mweneykiti wa muungano wa wauguzi mkutano uliokuwa ufanyike mapema hii leo haukufanyika baada ya kuarifiwa kuwa waziri wa leba hakuwepo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Saida Swaleh
More by this author