Wauguzi wafutilia mbali mgomo wao
Published on: November 02, 2017 08:18 (EAT)
Mgomo wa wauguzi uliotia fora kwa zaidi ya miezi minne tangu mwezi Juni tarehe tano hatimaye umesitishwa. Licha ya kupuuzwa na serikali kwa makatakwa walioweka mezani wauguzi wametia sahihi mkataba wa kurudi kazini.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment