Wauguzi wakubali kusitisha mgomo kwa siku 90

Baraza la magavana pamoja na muungano wa wauguzi nchini wameafikiana kusitisha mgomo wa wauguzi kwa muda wa siku sitini ili kutoa nafasi kwa mazungumzo baina yao.

Tags:

josephat nanok mgomo wa wauguzi nurses strike

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories