Wauguzi wasema wataendelea na mgomo


Muungano wa wauguzi nchini sasa umesema kuwa mgomo wao ungalipo hadi siku ambapo mkataba wao wa makubaliano utatiwa sahihi na kusajiliwa mahakamani, hata baada ya Baraza la magavana kusema kuwa mgomo huo ni kinyume cha sheria.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NASA senators meet to elect new minority leader

Story By Citizen Team
More by this author