Wauguzi watangaza mgomo serikali isipowalipa

Viongozi wa muungano wa wauguzi nchini wametishia kuanzisha mgomo tarehe tano mwezi huu iwapo serikali kuu
pamoja na baraza la magavana hawatatia sahihi mkataba wa maelewano yao. Naibu katibu mkuu Maurice Opetu
pamoja na mwenyekiti wa KNUN Seth Punyako walidai kuwa mamechoka kuandaa mazungumzo yasiyozaa matunda.

Tags:

KNUN Seth Panyako Nurses wauguzi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories