Wauguzi watishia kufanya mgomo katika kaunti 13


Muungano wa wauguzi nchini umetoa makataa ya siku saba kwa serikali za kaunti ambazo hazijatimiza mkataba wa maelewano wa kurudi kazini kwa wauguzi ulioafikiwa baada mgomo uliochukua miezi mitano. Kulingana na katibu mkuu twa muungano huo, Seth Panyako kaunti kumi na tatu hazijawalipa wauguzi mishahara yao ya miezi waliokuwa kwenye mgomo swala ambalo lilikuwa katika mkataba huo wa maelewano.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | THE MARA HEIST | Blatant plundering of Maasai Mara University funds

Avatar
Story By Kadzo Gunga
More by this author