Waumini waandamana mjini Nyeri

Mamia ya waumini wa kanisa la Kianglikana diosisi ya Mlima Kenya huko Nyeri hii leo walifanya maandamano ya amani katika mji wa Nyeri, kama njia ya kuonyesha umoja kwa Askofu Joseph Kagunda ambaye anakumbwa na kesi ya matamshi ya kuwaharibia sifa viongozi watatu wa dini. Watatu hao  waliondolewa kwenye  kanisa hilo baada ya kudaiwa kuendeleza mapenzi ya jinsia moja.

Tags:

nyeri diosisi ya Mlima Kenya Joseph kagunda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories