Wavinya Ndeti apinga kuchaguliwa kwa Mutua


Hatua ya mahakama ya kilele kutoa uamuzi uliofutilia mbali matokeo ya kura za urais kwenye kesi iliyowasilishwa na kinara wa Nasa Raila Odinga ijumaa wiki jana,huenda imepelekea viongozi tofauti wakiwemo magavana waliobwagwa kufika mbele ya mahakama kupinga matokeo ya kura yaliyowanyima ushindi.

Makori Ongechi anatuarifu…

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

citizen
Story By Citizen
More by this author