Wavuvi 5 wapoteza maisha baada ya boti kuzama ziwani Victoria

Katika taarifa zetu za mseto wa kaunti ni kuwa watu watano wanaodaiwa kuwa wavuvi wapoteza maisha yao jana jioni baada ya boti yao kuzama ziwa Victoria haya yanajiri huku  baadhi ya viongozi wa Jubilee kutoka mjini Mombasa  wanaowania viti mbali mbali  wakieleza kutoridhishwa na bodi iliyoundwa na wakuu wa chama hicho eneo hilo kwa madhumuni ya kusimamia zoezi la uteuzi wa chama cha Jubilee unaotarajiwa kung’oa nanga hivi karibuni.

Tags:

Budalangi Laker Victoria wavuvi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories