Wawakilishi 10 wa wadi Mombsa wanaswa wakiitisha hongo

Wawakilishi 10 wa wadi katika kaunti ya Mombasa wameandikisha taarifa kwa maafisa wa kupambana na ufisadi baada ya kukabiliwa na madai ya kukusudia kupokea hongo kutoka kwa kampuni ya Cocacola.Inadaiwa kwamba 10 hao walikuwa na mpango wakujipatia milioni moja kila mmoja ili wazime malalamishi yaliyowasiliwa dhidi ya kampuni hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories