Wawakilishi 5 wa wadi wakamatwa Kibwezi kwa kumtatiza mwalimu mkuu mpya

Hatua ya serikali kupitia wizara ya elimu kuhamisha walimu wakuu kutoka kwa shule tofauti inaendelea kuibua mchecheto katika sekta ya elimu nchini. Shule ya upili ya Kapenguria imefungwa baada ya wanafunzi kuandamana na kususia mwalimu mkuu mpya huku wawakilishi wa wadi watano kutoka kaunti ya Makueni wakikamatwa kwa madai ya kuwaongoza wenyeji ili kumzuia mwalimu mpya kuingia katika shule ya wasichana ya St. Joseph’s huko Kibwezi.

Tags:

headteachers transfers

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories