Waweru Mburu akumbukwa

Mtangazaji maarufu na mkuu wa Radio Citizen mojawapo wa radio stesheni zinazomilikuwa na kampuni ya Royal Media Services, Waweru Mburu amefariki. Waweru Mburu anayejulikana kwa kipindi chake Yaliyotendeka alifariki Jumatatu adhuhuri katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi ambako alikuwa amelazwa baada ya kuugua saratani ya tumbo.

Tags:

Royal Media Services Radio Citizen waweru mburu saratani ya tumbo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories