Wawili wakamatwa kwa kuzusha fujo Kisumu


Baraza la makanisa nchini NCCK leo hii limejitokeza kukashifu vikali rabsha zilizozuka hapo jana katika mkahawa wa Jumuia katika kaunti ya Kisumu. Machafuko hayo ambayo yalisababisha uharibifu wa mali ya thamani isiyojulikana pamoja na wizi wa mali, ulilenga kundi la wanawake wa dini waliokongamana ili kushauriana kuhusu wajibu wao katika kudumisha amani katika jamii.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author