Wazazi na maafisa wa usalama wamelaumiwa kwa kukithiri kwa visa vya ubakaji

Huku visa vya ubakaji na mimba kwa watoto vikikithiri katika taifa hili watalamu wakijinsia wanahoji kuwa ukosefu wa sheria mwafaka kuhusiana na swala hili ndio kizingiti kukabili swala hili . Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wazazi na maafisa wa usalama pia wamelaumiwa kwa kushirikiana na wanaotekeleza maovu hayo kwa kupokea rushwa ili kuwakinga washukiwa wanaotekeleza maovu hayo.

Tags:

Mimba za mapema ubakaji maafisa wa usalama wazazi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories