Wazazi Turkana watakiwa kutoa kipaumbele kwa elimu ya wanao

Katika karne ya 21 bado kadhia ya kupuuzwa elimu kwa watoto eneo la Turkana inaendelea kuwaumiza vichwa wanaharakati wa masuala ya elimu. Utamaduni wa wavulana kupewa majukumu ya kuchunga mifugo na wasichana kuozwa mapema unaendelea licha ya serikali kutangaza elimu ya bure ya msingi na upili.

Tags:

turkana

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories