Wazazi wa Kelson wafurahia kuungana tena na mwana wao


Siku sita baada ya kupotea kwa Kelson Kimani hatimaye kijana huyo mwenye umri wa miaka 4 ameweza kujumuika na familia yake. Kufikia sasa watu saba wamezuiliwa katika Kituo cha polisi cha Thika ili kubaini waliomteka nyara.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author