Wazazi wa mtoto aliyepatikana na sindano 14 mwilini wakamatwa na polisi

Mtoto aliyepatikana na sindano 14 mwilini mwake hatimaye yuko mikononi mwa serikali huku polisi wakiwazuia wazazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miezi kumi hadi pale uchunguzi wa polisi utakapobainisha iwapo ni kisa cha dhulma au la.

Tags:

10-month old child found with 14 needles

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories