Wazazi wadai baadhi ya shule zimeongeza karo

Serikali imewaagiza wakurugenzi wa kaunti wa elimu kuchunguza madai ya kuongezwa kwa karo za shule na kisha kutuma ripoti kwa wizara. Haya yanajiri huku wazazi wakijipata pabaya kwa kulazimika kulipa karo za juu kinyume na kiwango kinachostahili.

Tags:

Shule Karo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories