Wazazi wengi hawajui ni vitabu vipi watanunua


Huku mwaka mpya wa masomo ukikaribia, wazazi wameanza kufurika katika maduka ya jumla kununua vitabu na hata sare za shule. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Denis Otieno, hali ya suitafahamu ingali ipo kufuatia gharama ya masomo na kubwa zaidi ni kuhusu vitabu wanavyopaswa kununua kufuatia ujio wa mtaala mpya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Dennis Otieno
More by this author