Wazee wa Wapokot na Wamarakwet walaani wauaji

Huku zaidi ya watu 35 wakipoteza maisha katika kipindi cha miezi sita iliyopita  kufuatia wizi wa mifugo baina ya jamii ya Wapokot na Wamarakwet, wazee kutoka jamii hizi mbili wameanzisha mchakato wa kutafuta amani ili kukabili visa hivi. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wazee hawa wameazimia kutumia mbinu ya kushurutisha jamii inayotekeleza uvamizi au mauaji kulipia fidia.

Tags:

Pokot Elyego Marakwet wizi wa mifugo tamaduni mauaji

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories