Wazee wa Wasomali huteua viongozi wa kisiasa

Mfumo mpya wa demokrasia ambao unawahusisha wazee wa jamii kuwateua viongozi kwa niamba ya wananchi unaendelea kuvutia msetowa hisia katika kaunti ya mandera. Wengi wanasema kuwa mfumo huo umepitwa na wakati. Gavana wa mandera Ali Roba sasa amesema kwamba atatetea kiti chake ifikapo uchaguzi mkuu kinyume na mapendekezo ya wazee kutoka jamii hiyo. Nasteha Mohammed na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories