Waziri Amina ashindwa na waziri wa Chad

Kenya imepata pigo kubwa la kidiplomasia baada ya kukosa nafasi ya kuiongoza Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Balozi Amina Mohammed ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya alikuwa miongoni mwa wagombea 5 wa nafasi hiyo yenye ushawishi mkubwa. Mousa Faki Mahamat amechaguliwa mwenyekiti mpya baada ya kujizolea kura 38 katika uchaguzi uliofanywa na mataifa ya Afrika huko Addis Ababa, Ethiopia.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories