Waziri Amina Mohammed apigiwa upatu

Ujumbe   wa  Kenya   jijini   Addis  Ababa   Ethiopia   uko   mbioni   kuongeza   idadi   ya   uungwaji   mkono   katika   uchaguzi   wa  mwenyekiti   wa  tume ya  baraza  la  umoja   wa  Afrika-AU. Kufikia sasa   mataifa   kumi   na   tisa   yameeleza   nia   ya   kuunga   mkono   azimio   la kenya.

Tags:

Amina Mohamed addis ababa AU chair

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories