Waziri Matiangi atetea mpango wa kuwahamisha walimu wakuu

Waziri wa elimu Fred Matiang’i anasema kuwa uamuzi wa uhamisho wa waalimu wakuu wa shule za kitaifa umelengwa kuimarisha utangamano wa kitaifa na wala sio kwa nia nyingine. Matiang’i alisema haya katika hafla ya wakfu wa benki ya Equity wa wings to fly pale shinikizo la kutaka kufanya shule zote za upili kuwa na hadhi ya shule za kitaifa zilitolewa.

Tags:

equity bank Wings To Fly Education CS Fred Matiang'i

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories