Waziri Matiang’i awashangaza wengi

Kuanzia mwaka ujao, watahiniwa kaitka darasa la nane na kidato cha nne hawatatakiwa kupata nambari maalum za usajili wa mitihani, badala yake wakipata nambari za uanafunzi katika maisha yao yote shuleni. Haya ni kulingana na mmagizo ya rais uhuru kenyatta kwa waziri wa elimu fred matiangi kabla ya kutangaza matokeo ya mtihani wa kcse huko mombasa. Aidha matiang’i amesema kuwa hakukuwa na visa vyovyote vya udanganyifu katika mtihani huo akilaumu matukio ya awali ya wizi wa mitihani kwa utepetevu wa wasimamizi wa mitihani.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories