Waziri wa afya afunga Hoteli 2 hapa Nairobi
Published on: July 19, 2017 08:00 (EAT)
Mailu amesema hoteli za Jacaranda na San Valencia zitasalia kufungwa mpaka pale wenyewe watakapozingatia vigezo vipya vya usafi. Hata hivyo, wasimamizi wa hoteli ya Jacaranda wanasema kazi zao zinaendelea kama kawaida kwani wanazingatia viwango vya juu vya usafi.
Haya yanajiri huku serikali ikitoa tembe za usafishaji maji zitakazosambazwa bila malipo katika mitaa ya mabanda.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment