Waziri wa zamani William Ole Ntimama afariki dunia

Aliyekuwa waziri wa turathi William Ole Ntimama ameaga dunia. Ntimama aliaga dunia nyumbani kwake katika kaunti ya Narok jana usiku. Rais Uhuru Kenyatta amemtaja ntimama kama kiongozi aliyejitolea kuhudumia taifa na hasa jamii ya Wamaasai. Kinara wa Cord Raila Odinga naye akimtaja ntimaa kama kiongozi aliyetetea jamii yake dhidi ya dhuluma za kihistoria pamoja na msimamo wake wa kuutetea msitu wa mau. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories