Wazoaji Taka Wapinga Utaratibu Mpya Wa Serikali,Nairobi

Wakusanyaji taka katika jiji la Nairobi leo wamefanya maandanano ili kupinga hatua ya serikali ya Kaunti ya Nairobi ya kuwakataza kuzoa taka katika baadhi ya mitaa ya Nairobi, na badala yake kazi hiyo kupewa kampuni moja ya kibinafsi . Waandamanaji hao walifululiza hadi kwenye afisi za gavana wa Nairobi Evans Kidero ili kulalamikia hatua hii. Mwanahabari wetu Tom Wanjala ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories