Weldon Cheruiyot na bendi yake wazikwa huko Bomet

Maelfu ya watu walijitokeza katika kijiji cha Kamungei kaunti ya Bomet kuhudhuria mazishi ya mwimbaji maarufu Weldon Cheruiyot almaaruf kama Kenene International na bendi yake walioangamia baada ya kuhusika katika ajali wakielelekea Eldoret.

Tags:

Bomet Kenene International Weldon Cheruiyot

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories