Wengi wamepoteza mikono kwenye mzozo wa mmea huo, Igembe Kaskazini

Ingawa miraa ni mmea unaochukuliwa kama mshipa wa uhai kwa wenyeji wa Meru na viunga vyake, kwa upande mwingine miraa ni chanzo cha uhasama mkubwa kati ya watu wa maeneo hayo; uhasama ambao unakwenda mbali kiasi cha kusababisha baadhi ya watu kukatwa mikono na hata miguu hasa linapokuja suala la wizi wa mmea huo.

Tags:

meru Miraa igembe kukata mikono

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories