Wenyeji waandamana kutetea viongozi wa Eldoret

Hali ya taharuki ilitanda mjini Eldoret baada ya wakaazi  kuandamana wakisisitiza kwamba matamshi yaliotolewa na viongozi eneo hilo  ni ya haki na hivyo basi viongozi wao hawapaswi kuhangaishwa  kuandikisha taarifa. Wakati huo huo gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandagor na mwenzake wa Elgeyo Marakwet Alex Tolgos wameshikilia kwamba msimamo wao ni ule ule kwamba lazima kiongozi au naibu chansela wa chuo kikuu cha Moi ni sharti atoke jamii yao.

Tags:

Moi University eldoret Alex Tolgos Jackson Mandagor prof laban Ayiro

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories