Wetangula apinga hatua ya kuwahamisha walimu

Kinara mwenza wa muungano wa NASA Moses Wetangula amepinga kuhamishwa kwa walimu wa kuu wa shule za kitaifa akisema kuwa hatua hiyo inadunisha kazi ambayo baadhi yao wamefanya katika shule ambazo walikuwemo. Wetangula anasema kuwa baadhi ya walimu wakuu wametolewa kutoka kwenye shule zenye hadhi na kupelekwa kwenye shule zisizotajika tena katika kaunti tofauti.

Tags:

Fred Matiang'i Moses Wetangula tsc

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories