Wezi waiba ndani ya kanisa, walichoma moto

Katika kile kinachoonekna kama ukosefu wa imani ya dini, sasa wezi wamekuwa wakilenga hata nyumba za ibada kuvuna ambacho hawajakipanda.usiku wa kuamkia leo watu wasiojulikana walivamia kanisa moja katika eneo la kabete na kuiba mali ya thamani kubwa na kisha wakaliteteteza kanisa hilo.
Mwanahabari wetu Simon Kigamba atuanzia nipashe na taarifa hiyo ambayo imewaacha waumini na wenyeji wa eneo hilo vinywa wazi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories