Wito Wa CORD Wapuuzwa

Malumbano makali ya kisiasa tayari yameanza kushuhudiwa kufuatia mwamko mpya kuhusu mazungumzo ya kitaifa uliotolewa na wanacord wakati wa mazishi ya Fidel Odinga. Viongozi wa jubilee  wameonekana kutofautiana, kwa upande mmoja kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Kithure Kindiki akiukaribisha mwaliko huo iwapo utakuwa tofauti na ule wa mwaka uliopita naye mwenzake wa bunge la kitaifa Aden Duale akifutilia mbali mazungumzo anayodai ni ya kujitakia makuu.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories