Wizara Mpya Kubuniwa ya Wafugaji

Naibu Rais William Ruto amedokeza kuongezwa kwa wizara maalum ambayo itakuwa ikihusika na masuala ya wafugaji na jamii zilizotengwa. Ruto amesema kuwa kuna haja ya kufufua na kuunganisha wizara iliyokuwa ya ustawi wa maeneo ya kaskazini mwa nchi na ile ya mipango maalum ili kuweza kushughulikia kikamilifu masuala ya wafugaji na jamii zilizotengwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories