Wizara ya ardhi yatetea hatimiliki milioni 3

Waziri wa Ardhi Jacob Kaimenyi amekana madai kuwa zaidi ya hati miliki milioni 3 zilizotolewa kuanzia mwaka wa 2013 ni bandia.

Waziri kaimenyi amesema kuwa uamuzi uliotolewa na mahakama kuu umetoa muda wa miezi 12 kwa wizara yake kubuni sheria kamilifu. Aidha sheria hizo zitawasilishwa bungeni na wizara ya ardhi ili kuidhinishwa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories