Wizara ya Kilimo yazindua mtego maalum wa viwavi jeshi


Serikali imepigwa jeki katika juhudi zake za kuwaangamiza viwavi jeshi ambao wamevamia maelfu ya ekari za mashamba sehemu mbalimbali humu nchini. Shirika la dunia la chakula na kilimo, FAO, limetia saini mkataba na serikali wa kutoa mitego ya kuuwa wadudu hao kwa wakulima.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Dennis Otieno
More by this author