Yaliyojiri bungeni

Nje ya bunge hali ya usalama ilikuwa imeimarishwa vilivyo na hakuna aliyeruhusiwa kukaribia maeneo hayo, ni siku ambayo wengi walikuwa wameisubiri kwa hamu kusikia kitakacho zungumzwa ila wabunge walionekana kupigwa na mshangao pale rais aliposema baada ya uchaguzi mkuu kuna haja ya mishahara yao kupunguzwa .

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories