Yaya Ashtakiwa Kwa Kumuadhibu Mwana

Yaya mmoja amefikishwa mahakamani hapa jijini Nairobi kujibu mashtaka ya kumnyanyasa mtoto wa miaka 3. Mfanyikazi huyo wa nyumbani anadaiwa kunaswa na camera za CCTV akimchapa mtoto huyo nyumbani mwao katika mtaa wa Kahawa Sukari. Kisa hicho kinajiri siku chache baada kisa kama hicho kuripotiwa nchini Uganda na kuzua mjadala mkali kuhusiana na namna wafanyikazi wa nyumbani wanavyioshi na watoto wa waajiri wao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories